Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Nkansi Kaskazini, Ally Kessy wa Nkansi (katikati) na Livingston...
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Nkansi Kaskazini,
Ally Kessy wa Nkansi (katikati) na Livingstone Lusinde wa Mtera kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016.
aziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Kilimo , Mifugo na
Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Buchosa, Dkt. Charles Tizeba kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma Novemba 2,
2016.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wapiga kura wake kutoka jimbo la
Ruangwa waliomtembelea bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wapiga kura wake kutoka jimbo la
Ruangwa waliomtembelea bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wapiga kura wake
kutoka jimbo la Ruangwa waliotembelea bunge mjini Dodoma Novemba 3,
2016. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

COMMENTS