Mkutano huuo ukiendelea Mhe.Makame Mbarawa waziri wa Ujenzi uchukuzi na mawasiliano akiongoza ujumbe wa serikali ya Tanzania ...

Mkutano huuo ukiendelea


Mhe.Makame Mbarawa waziri wa Ujenzi uchukuzi na mawasiliano akiongoza ujumbe wa serikali ya Tanzania kwenye mkutano wa Usafirishaji Duniani unaofanyika jijini Ashgabat nchini Turkmenistan, mkutano huo wa kimataifa umefunguliwa leo na katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban ki moon. Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa akiongea na Waziri wa Uchukuzi wa Nchini Urusi Maksin Sokolov masuala muhimu yanayohusu sekta ya usafitishaji katika nchi zao.
Waziri Mbarawa anahudhuria mkutano wa kimataifa wa usafirishaji Duniani unaofanyika jijini Ashgabat nchini Turkmenistan.


Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Makame Mbarawa akiongea na Waziri wa Usafirishaji wa Oman Ahmed Mohamed Salim Al- Futaisi masuala muhimu yanayohusu sekta ya usafirishaji katika nchi zao. Waziri Mbarawa anahudhuria mkutano wa kimataifa wa usafirishaji Duniani unaofanyika jijini Ashgabat nchini Turkmenistan.

COMMENTS