WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO
HomeJamii

WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza na waandishi wa habari jijini ...

SERIKALI IMEKUSANYA BILIONI 63 KUPITIA MTAMBO WA KUHAKIKI NA KUSIMAMIA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU NCHINI
TAMWA YAJIVUNIA KUWAWEZESHA WANAHABARI 2470 KIMAFUNZO
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) PAMOJA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR ES SALAAM









Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, ambapo aliwaasa wananchi kuchukua uamuzi wa  kupima afya zao na kupatiwa matibatu. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Dk. Hedwiga Swai. 

Na Dotto Mwaibale

WANANCHI wametakiwa kupima kila wakati na kuendelea kutumia kinga ili kujiepusha na maambuki mapya ya VVU.

Mwito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko katika kikao cha makamishina wapya wa tume hiyo kilichoketi jijini Dar es Salaam juzi. 

"Tunapaswa kuwa ni mikakati endelevu ya kupambana na ugonjwa wa ukimwi kwani bado kunachangamoto kubwa" alisema Maboko.

Maboko alisema watanzania wasidanganyike kuwa ukimwi umekwisha ugonjwa huo bado upo na ni changamoto kubwa.

Alisema changamoto kubwa ya ugonjwa huo bado ipo katika baadhi ya mikoa hasa ile ya nyanda za juu kama Iringa na Njombe hivyo wananchi wasibweteke kuwa ugonjwa huo umekwisha.

Alisema kwa Tanzania Bara kunamaambukizi ya asilimia 5.3 sawa na watu milioni mbili waliopata maambukizi.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO
WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEienaPEiM4PRbv9FBDVVvZO6BL8X30ECAv1TTRyzQ81aNWW8aAKff757v7tRKY_VlE4WRcmRhTM3JPVtHRrSj8Kc-lytWcj8-BXBXmiLBljQvqBMYDeO01AVIcy-kLk3aBK0Q6oEusYM9Df/s640/IMG_2087.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEienaPEiM4PRbv9FBDVVvZO6BL8X30ECAv1TTRyzQ81aNWW8aAKff757v7tRKY_VlE4WRcmRhTM3JPVtHRrSj8Kc-lytWcj8-BXBXmiLBljQvqBMYDeO01AVIcy-kLk3aBK0Q6oEusYM9Df/s72-c/IMG_2087.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wananchi-washauriwa-kuendelea-kupima.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wananchi-washauriwa-kuendelea-kupima.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy