Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea Nairobi,
Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili leo Jumanne
Novemba 1, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
akitokea Nairobi, Kenya alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku
mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam akitokea Nairobi, Kenya alikokuwa katika ziara ya
Kiserikali ya siku mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Nairobi, Kenya alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku
mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
COMMENTS