PPF YAANDIKISHA WAPANDA BODABODA KUWA WANACHAMA WA MFUKO HUO KUPITIA MPANGO WA WOTE SCHEME

 Baadhi ya wapanda boda boda kati ya 250 waliojiunga na Mfuko wa Pnsheni wa PPF kupitia mpango wa "Wote Scheme wilayani ...









 Baadhi ya wapanda boda boda kati ya 250 waliojiunga na Mfuko wa Pnsheni wa PPF kupitia mpango wa "Wote Scheme wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha mfano wa kadi za kujiunga na mpango huo baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Bw. Felix Jackson Lyaviva, wakati wa uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama mkoani Dar es Salaam, Novemba 7, 2016.
 Bw. Lyaviva, akimkabidhi mfano wa kadi ya uanachama wa PPF, mpanda bodaboda, Mkemwa William Faustin.




NA
K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
MFUKO wa Pensheni wa PPF umeendelea na kampeni yake ya kuandikisha wanachama wapya kupitia mpango wa “Wote Scheme”, unaohusisha wafanyakazi walio katika sekta
rasmi na wale waliojiajiri wenyewe ambapo katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama mkoani Dar es Salaam, zaidi ya waendesha bodaboda 250, kutoka wilaya ya
Temeke, walijiunga na mpango huo.
Katika uzinduzi huo uliofanyika viwanja vya Mwembe-Yanga, wilayani humo Novemba 7,2016, Mkuu wa wilaya ya Temeke, Bw. Felix Jackson Lyaviva, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, aliwakabidhi kadi za uanachama wa
Mfuko huo baadhi ya waendesha bodaboda hao.
Akizungumza baada ya zoezi hilo la kuwakabidhi kadi hizo, Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele alisema, zoezi la kuandikisha wanachama wapya wakiwemo hao wa bodaboda,
litakwenda sambamba na maadhimisho ya Wiki ya nenda kwa usalama ambayo itafanyika kwenye wilaya za Ilala, na Kionondoni pia. “Tunatoa wito kwa, wananchi wote, wakiwemo wajasiriamali, mama lishe, bodaboda, machinga, kujiunga na mpango huo ambao una faida nyingi ikiwemo kujipatia bima
ya afya, mikopo ya elimu na mafao mengine mengi.” Alifafanua.


 Bw. Lyaviva, akimkabidhi mfano wa kadi ya uanachama wa PPF, mpanda bodaboda, Lowowa Emmanuel Julius.
 Bw. Lyaviva, akimkabidhi mfano wa kadi ya uanachama wa PPF, mpanda bodaboda, Rubamande Ratifa Ally.
 Bw. Lyaviva, akimkabidhi mfano wa kadi ya PPF, Bw. Shinne Gustaph Patrick.
 Mkuu wa wilaya ya Temeke, Felix Jackson Lyaviva, akimpongeza mwanachama mpya wa PPF, ambaye ni dereva wa Bodaboda, Bw.
Mkemwa William Faustin.

Mkuu wa wilaya ya Temeke, Felix Jackson Lyaviva, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kanda  ya Temeke, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, (SACP), Gilles Mroto wakati akiwasili. Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda ya Ilala, Salum Hamduni.
 Kamanda wa polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani wilaya ya Temeke, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Solomon Mwangamilo, akizungumza jambo na Meneja Uhusino wa PPF, Lulu Mengele. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa, (NHC), Yahya Charahani.
 Mkuu wa wilaya ya Temeke, Felix Jackson Lyaviva, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kanda ya Ilala, Salum Hamduni
 Mkuu wa wilaya ya Temeke, Bw. Felix Jackson Lyaviva, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilaya ya Temeke, ASP, Solomon Mwangamilo
 Meneja Uhusino wa PPF, Bi. Lulu Mengele, akisalimiana na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani wilaya ya Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi, (ACP_, Theopista Malya
 Meneja Uhusino wa PPF, Bi. Lulu Mengele, akisalimiana na Mkuu wa Kituo cha Polisi, (OCS), cha Mabasi ya Mkoa, Ubungo Bus Terminal, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, (ASP), Sarah Bundala
 Polisi wa usalama barabarani wakiingia kwa maandamano kwenye viwanja vya Mwembe-Yanga
 Askari wa usalama barabarani akiyaelekeza magari yaliyoshiriki kwenye maanadamano siku ya uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Dar es Salaam, viwanja vya Mwembe-Yanga
 Waendesha Bodaboda wakiwasili kwa maandamano kwenye viwanja hivyo
 Mwanachama mpya wa PPF, ambaye ni mwendesha bodaboda, Ratifa Ally, (kushoto), akibadilishana mawazo na Maafisa wa PPF Kanda ya Temeke, Elizabeth Chambiri, (kulia) na Donald Maeda
 Brass Band ya polisi ikiongoza maandamano
 Mkuu wa wilaya ya Temeke, Bw. Felix Jackson Lyaviva, (kulia), akipatiwa malezo ya shughuli za Mfuko wa Pensehni wa PPF, kutoka kwa Msimamizi wa Kanda ya Temeke, Sospeter Lyimo, (wapili kushoto). Kulia ni Bi. Elizabeth Chambiri
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PPF, Bi. Jannet Ezekiel, akimpatia maelezo Afisa huyu wa polisi kuhusu mpango wa Wote Scheme, ambao Polisi nao wanaweza kujiunga nao
Mwanachama mpya akisajiliwa kujiunga na Wote Scheme

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PPF YAANDIKISHA WAPANDA BODABODA KUWA WANACHAMA WA MFUKO HUO KUPITIA MPANGO WA WOTE SCHEME
PPF YAANDIKISHA WAPANDA BODABODA KUWA WANACHAMA WA MFUKO HUO KUPITIA MPANGO WA WOTE SCHEME
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgubgN9YymPcAxB8mDh9F2Gl3sGIDQoY2-LrH8jNR8-Q__qPusyci2eDjuauO5nbIMmMXohQ-9RcbuNKyzG-i-uug7vkETucjLtA_UTXViWJvTwGeHDhbTFhV01zr8gnbRtU8jiFdpAevQ/s640/5R5A0934.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgubgN9YymPcAxB8mDh9F2Gl3sGIDQoY2-LrH8jNR8-Q__qPusyci2eDjuauO5nbIMmMXohQ-9RcbuNKyzG-i-uug7vkETucjLtA_UTXViWJvTwGeHDhbTFhV01zr8gnbRtU8jiFdpAevQ/s72-c/5R5A0934.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/ppf-yaandikisha-wapanda-bodaboda-kuwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/ppf-yaandikisha-wapanda-bodaboda-kuwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy