Mazishi ya Mzee Richard Binagi (88) aliyefariki dunia Jumanne Novemba 08,2016 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua, yamefanyi...
Mazishi ya Mzee Richard Binagi (88) aliyefariki dunia Jumanne Novemba 08,2016 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua, yamefanyika jana Jumamosi Novemba 12,2016 nyumbani kwake Kipunguni Jijini Dar es Salaam. Alikuwa askari mstaafu wa JWTZ.
Na BMG
Askari wa JWTZ wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mzee Richard Binagi
Askari wa JWTZ wakiupeleka kwa maziko mwili wa Mzee Richard Binagi.
Gwaride la heshima.
Gwaride la heshima.
Askari wa JWTZ wakitoa heshima zao.
Wanafamilia (Profesa Lloyd Binagi na mkewe) wakiweka shada la maua.
Wanafamilia (Mzee Chacha Binagi na mkewe) wakiweka shada la maua.
Wanafamilia (Mama Binagi) akiweka shada la maua.
Wanafamilia (Zakari Binagi na mkewe) wakiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiweka shada la maua.
Wanafamilia.
Wanafamilia.
Wanafamilia.
Ndugu, jamaa na marafiki.
Bonyeza HAPA Kuhusu Msiba.




















COMMENTS