MAJADILIANO MUSWADA WA HABARI BUNGENI DODOMA LEO
HomeJamii

MAJADILIANO MUSWADA WA HABARI BUNGENI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Jukwaa la Habari Tanzania (TEF), Theothil Makunga (kulia), akiwa na wajumbe wa jukwaa hilo, Jane Mihanji (katik...









 Mwenyekiti wa Jukwaa la Habari Tanzania (TEF), Theothil Makunga (kulia), akiwa na wajumbe wa jukwaa hilo, Jane Mihanji (katikati) baada ya kutoka bungeni Dodoma jana, kusikiliza mwenendo wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari.



 Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge akiongoza majadiliano hayo


 Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akitoa mcahno wake Bungeni.

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Medard Kalemani (kulia) akiwa na wapiga kura wake waliotembelea Bunge jana.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwasilisha bungeni Dodoma, Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akipongezana na naibu wake, Anastazia Wambura baada ya kuwasilisha muswada huo



 Mbunge wa Tunduma, Mwakajoka akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Leonecia Butimbaa

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) akijadiliana jambo na Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEA), Jane Mihanji na Saedy Kubenea Mbungea Jimbo la Ubungo katika  viwanja vya Bunge, Dodoma, baada ya kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari.

Waziri Kivuli wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Joseph Mbilinyi akiwasilisha bungeni, Dodoma jana, maoni ya Kambi rasmi ya Upinzani kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016

 Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe akichangia hoja bungeni Dodoma,  kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016, ambapo alisema kuwa muswada huo hauwatendei haki wanahabari.

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saedy Kubenea akichangia muswada huo





Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAJADILIANO MUSWADA WA HABARI BUNGENI DODOMA LEO
MAJADILIANO MUSWADA WA HABARI BUNGENI DODOMA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhqfKvsrvUljI7MG7L4YJ8UT43AFLXmdjplY4Yaxl0xGQMDuEsMKIdhljIS_4B_hIOuctiqvzYM8zXY4Hj-G4rkscv4hS_WNjeGnmiKVvZJ4lLGBhv3N3bAxh3iCJ5Q1vTjlZRWY1PlDSg/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhqfKvsrvUljI7MG7L4YJ8UT43AFLXmdjplY4Yaxl0xGQMDuEsMKIdhljIS_4B_hIOuctiqvzYM8zXY4Hj-G4rkscv4hS_WNjeGnmiKVvZJ4lLGBhv3N3bAxh3iCJ5Q1vTjlZRWY1PlDSg/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/majadiliano-muswada-wa-habari-bungeni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/majadiliano-muswada-wa-habari-bungeni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy