Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing wakikata utepe
kuizindua Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,iliyojengwa
na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Hospitali ya Abdalla Mzee
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo,ambayo imejengwa na Kampuni
ya Kichina Jiang SU Ltd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akifuatana na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing
(kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Alipotembelea Chumba cgdhi
mbali mbali ali Iddi wakati akitembelea sehemu mbali mbali za Jengo la
Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiangalia mashine za kuchunguzia maradhi mbalimbali wakati
alipotembelea Chumba cha Maabara katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa
wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi leo akiwa na Balozi wa
China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing (katikati) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi
Seif Ali Iddi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) na Mkurugenzi wa huduma za Hospitali Mohamed
Dahoma na Viongozi wengine wakiwa katika chumba cha uchunguzi wa matatizo ya
uti wa mgongo baada ya kuizindua rasmi Hospitali ya Abdalla Mzee
iliyopo Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba 26/11/2016. (PICHA NA IKULU YA
ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) na katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt.Juma Malik Akil
wakifuatana na Viongozi wengine wakati alipotembelea Hospitali ya Abdalla Mzee
iliyopo Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi
leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe, Mwanajuma Majid hospitali
hii imejengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kutembelea sehemu mbali
mbali za Hospitali ya Abdalla Mzee iliyopo Mkoani Mkoa wa Kusini
Pemba baada ya kuizindua rasmi leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,
Mwanajuma Majid hospitali hii imejengwa na Kampuni ya Kichina Jiang
SU Ltd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini
Pemba na Viongozi mbali mbali baada ya kuizindua Hospitali ya
Abdalla Mzee leo ambayo imejengwa na Kampuni ya Kichina Jiang
SU Ltd
COMMENTS