Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wan...
Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Kituo
cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia Muholo (wa tatu
kulia), wakikata utepe kuzindua rasmi Awamu ya Tatu ya Kampeni ya
‘Tunaweza’ wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye
Viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jacqueline Mlay wa
Kitengo cha haki za Jinsia Oxfam na (kushoto) ni Mkurugenzi wa Taasisi
ya Kivulini ya jijini Mwanza, Yassin Ally.
Mgeni rasmi Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Kituo
cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia Muholo (wa tatu
kulia), na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kivulini ya jijini Mwanza, Yassin
Ally (wa pili kushoto) Mkaguzi wa Polisi Prisca Komba wa Dawati la
Jinsia Polisi Kinondoni (kushoto) na Jacqueline Mlay wa Kitengo cha haki
za Jinsia Oxfam, kwa pamoja wakiinua vipeperushi baada ya mgeni rasmi
kuzindua Awamu ya Tatu ya Kampeni ya ‘Tunaweza’ iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Mafoto Blog
Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia Muholo, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Sehemu ya wadau na mashuhuda waliohudhuria uzinduzi huo.
Specioza
Sylvester, mkazi wa jijini Mwanza akitoa ushuhuda wa Ukatili jinsi
alivyomwagiwa Tindikali na vijana waliotumwa na mumewe kwa ajili ya
mali.
Rukia Hamis, mkazi wa Mbagala Kijichi, akitoa ushuhuda jinsi alivyokatwa mkono na mumewe.
Rukia akiuvaa mkono wake wa bandia baaada ya kutoa ushuhuda.
Jacckline Mlay wa Kitengo cha haki za Jinsia kutoka Shirika la Oxfam, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.
Mkaguzi wa Polisi Prisca Komba wa Dawati la Jinsia Polisi Kinondoni, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, akizungumza.
Mgeni rasmi Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Flora Masue, akihutubia wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wadau na viongozi wakiwa Jukwaa Kuu.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Mwacity Almas, akiimba na kucheza pamoja na
baadhi ya kinamama waliohudhuria uzinduzi wa Awamu ya tatu ya Kampeni ya
‘Tunaweza’ ya Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC),
iliyozinduliwa leo kwenye Viwanja vya Biafra jijini Kinondoni, jijini
Dar es Salaam.
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia Theatre Group, wakitoa burudani.
Wasanii wa kikundi cha Ngonjela cha Aha Organization, wakighani mashahiri yao ya Ngonjela.
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia Theatre Group, wakitoa burudani.





















COMMENTS