WAZIRI NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANNE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
HomeJamii

WAZIRI NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANNE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marie...

VIDEO; PROFESA KITILA MKUMBO AZUNGUMZA BAADA YA KUAPISHWA NA RAIS MAGUFULI
RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU, DAR ES SALAAM
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI, AZUNGUMZA NA MAWAKALA WA PEMBEJEO




Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa Norway nchini, Hanne-Marie Kaarstad (kushoto) kwa ajili ya kufanya mazungumzo naye kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Norway na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri huyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya. 
 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimfafanulia jambo Balozi wa Japan nchini, Ian Myles (wapili kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Japan. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara hiyo, Haji Janabi, na kulia ni Msaidizi wa Balozi huyo, Pascale Julien. 
 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimfafanulia jambo Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Nchemba ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Norway. 
 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimsikiliza Balozi wa India hapa nchini, Sandeep Arya (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na India. 
 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimfafanulia jambo Balozi wa Rwanda, Eugene Kayihura (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Nchemba ofisini kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda. 
 
 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India nchini, Sandeep Arya (kulia) mara baada ya Balozi huyo kumaliza mazungumzo na Waziri ambayo yalifanyika ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo hayo yalikuwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na India. 
 
 
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimsindikiza Balozi wa Rwanda, Eugene Kayihura (kulia) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliyofanyika ofisini kwa Waziri huyo, jijini Dar es Salaam leo. Lengo la mazungumzo hayo ni kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi jirani ya Rwanda na Tanzania. (Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANNE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
WAZIRI NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANNE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjksYCd30italu-FmfiFI_4drI2iwZJccCR5pNKYVvfjUL1BuBxy_kxbBldOgVvpR16soSWtRBvYlhM1DCFc34Wd8vhc0KiApZj0_WAsLxdA5CvgLPYuoW-KDJoZyZpepKRyRfe0QZG-kg/s640/lu1-768x534.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjksYCd30italu-FmfiFI_4drI2iwZJccCR5pNKYVvfjUL1BuBxy_kxbBldOgVvpR16soSWtRBvYlhM1DCFc34Wd8vhc0KiApZj0_WAsLxdA5CvgLPYuoW-KDJoZyZpepKRyRfe0QZG-kg/s72-c/lu1-768x534.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/waziri-nchemba-afanya-mazungumzo-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/waziri-nchemba-afanya-mazungumzo-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy