WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA 6 WA WADAU WA NSSF

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa A...






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba 20, 2016 ambako alifungua mkutano wa sita wa Wadau wa NSSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).  Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sea, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 
 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mhe. Waziri Jenista Mhagama (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ambako alifungua mkutano wa Sita wa NSSF kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016.
 
 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Godfrey Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba 20, 2016 ambako alifungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA 6 WA WADAU WA NSSF
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA 6 WA WADAU WA NSSF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVauyPyT_x0Vh8o2Fo0n_yxkvCp3hX-EL4ns91C8nZxsQAZSR4q9R_VXH-5AUF3ExP3wsHIQl0qZBTsIlRZXQgV6FdlV3SDuah3zPkuq0OYXaFTFk7BKrprVDnvYhesrRIoHrLASIrkY4/s640/RG1A9663.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVauyPyT_x0Vh8o2Fo0n_yxkvCp3hX-EL4ns91C8nZxsQAZSR4q9R_VXH-5AUF3ExP3wsHIQl0qZBTsIlRZXQgV6FdlV3SDuah3zPkuq0OYXaFTFk7BKrprVDnvYhesrRIoHrLASIrkY4/s72-c/RG1A9663.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/waziri-mkuu-majaliwa-awasili-arusha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/waziri-mkuu-majaliwa-awasili-arusha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy