Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya( fulana ya Blue) akimkabidhi kisima cha maji Mwenyekiti wa kijiji ch...
 |
| Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya( fulana ya Blue) akimkabidhi kisima cha maji Mwenyekiti wa kijiji cha Ulowa 4 Hamad Mohamed kisima cha maji kilichojengwa na mtandao huo,wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga.Kina thamani ya shilingi milioni 16 /-. |
 |
Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya(wa pili kulia) na mkazi wa kijiji cha Ulowa 4 wilayani Ushetu mkoani Shinyanga Magreth Charles wakikamua maji kwenye kisima kilichojengwa kijijini hapo na mtandao huo chenye thamani ya shilingi milioni16/- , wakati wa Uzinduzi.
|
 |
Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Ulowa 4 Magreth Charles, wakati wa uzinduzi wa kisima wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga.
|
 |
| Meneja Masoko wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Mashauri,akimtua ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Ulowa 4 wilayani Ushetu mkoani Shinyanga Tatu Kapembe,wakati wa uzinduzi wa kisima cha maji kijijini hapo. |
|
COMMENTS