TAMASHA KUBWA LA KUSIFU MWANZA.

Jumapili Oktoba 09, 2016 katika Kanisa la "EAGT Lumala Mpya International Church" Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini...










Jumapili Oktoba 09, 2016 katika Kanisa la "EAGT Lumala Mpya International Church" Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, linatarajiwa kufanyika tamasha kubwa la Kusifu na Kuabudu.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt. Daniel Moses Kulola, amewahisi watu wote kufika kwenye tamasha hilo kwani kwenye kusifu na kuabudu, ana uhakika wa kuisikia sauti ya Mungu na huwa huru na kujitenga na dhambi ikizingatiwa kwamba kuna nguvu ya Mungu kwenye kusifu na kuabudu.

Mratibu wa tamasha hilo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vijana, Max Kemmy, amesema tamasha hilo litakuwa la aina yake na kwamba litaanza kuanzia majira ya saa nane kamili mchana likiwa na ujumbe usemao, "Njoo Tuabudu Pamoja".
Na BMG

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMASHA KUBWA LA KUSIFU MWANZA.
TAMASHA KUBWA LA KUSIFU MWANZA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcywcqmCcRLoXGcn-vTXWBFXjxG43H712uQTxUpeFgrlXlrE2gRWGuTZ8HW8rW4svIymnWsxhWZKeyeZqLNtgHsVUm3n6-x7UktTm4cUwkumZgTy7IPfEPJue1aqJ-TZowI-N0Lzj2i6M/s640/EAGT+LUMALA+MPYA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcywcqmCcRLoXGcn-vTXWBFXjxG43H712uQTxUpeFgrlXlrE2gRWGuTZ8HW8rW4svIymnWsxhWZKeyeZqLNtgHsVUm3n6-x7UktTm4cUwkumZgTy7IPfEPJue1aqJ-TZowI-N0Lzj2i6M/s72-c/EAGT+LUMALA+MPYA.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tamasha-kubwa-la-kusifu-na-kuabudu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tamasha-kubwa-la-kusifu-na-kuabudu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy