Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jenerali Mbazi Msuya akifafanua jambo wakati wa Mkutano na waa...
Mkurugenzi
Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jenerali Mbazi
Msuya akifafanua jambo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliohusu
utoaji wa tahadhali ya hali ya Ukame utakaosababisha kukosekana kwa
chakula kwa baadhi ya maeneo nchini Oktoba 20, 2016. Mkutano ulifanyika
katika Ukumbi wa Mikutano ofisi hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bw. Paschal Waniha (wa kwanza kushoto) akitoa hoja za masuala ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa katika kujiandaa kukabili maafa wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Oktoba 20, 2016.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi Msuya (hayupo pichani) wakati wa mkutano na wanahabari hao katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 20 Oktoba, 2016. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
COMMENTS