MKUU WA WILAYA YA SAME, ROSEMARY STAKI AIKARIBISHA PPF WILAYANI HUMO KUWEKEZA KWENYE KIWANDA CHA KUCHAKATA TANGAWIZI

 Mkuu wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Bi. Rosemary Staki Senyamule (kulia), akimkaribisha ofisini kwake, Meneja Uhusiano...










 Mkuu wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Bi. Rosemary Staki Senyamule (kulia), akimkaribisha ofisini kwake, Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele Oktoba 10, 2016.







NA
K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, SAME
MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Rosemary Staki Semanyule (pichani), amesema wilaya yake inazo fursa za kutosha hususan kilimo cha Tangawizi na kuukaribisha Mfuko wa
Pensheni wa PPF kujenga kiwanda cha kuchakata Tangawizi, ili kuongeza thamani ya zao hilo.
Mkuu huyo wa wilaya aliyasema hayo katika mazungumzo mafupi na MenejaUhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, aliyemtembelea ofisini kwake Oktoba
10, 2016.
“Same tunalima Tangawizi kwa wingi, wakulima hawapati faida ya kutosha kwa vile wanauza mara tu wanapovuna, tunahitaji viwanda vya kuchakata Tangawizi ili iwe katika mfumo wa unga (powder) na itakuwa rahisi kusafirisha nje na kuuza kwa bei ya juu zaidi na hivyo kuongeza kipato kwa wakulima wetu.” Alisema Bi Staki.
Staki pia alisema, ukiacha wananchikujishughulisha na zao hilo, pia Same wanalima mazao ya chakula kwa wingi.
Kwa upande wake, Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele, alisema, PPF inaendelea na kampeni yake ya kuongeza wanachama hususan kupitia mpango wa “Wote Scheme” unamuwezesha Mfanyakazi wa sekta rasmi na isiyo rasmi, (wajasiruimali) kujiunga
nao.

Wote Scheme, ni mpango utakaowafaa sana wajasiriamali, ambao ni wakulima, waendesha bodaboda, mama lishe na baba lishe.” Alisema, Mengele.
Akifafanua zaidi, Mengele alisema, Mwanachamaaliyejiunga na mpango huo, atafaidika na Mafao mbalimbali na kubwa zaidi ni kupata Bima ya Afya.



Staki akimsikiliza Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele.

Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele, akimueleza Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Rosemary Staki Semanyule, shughuli mbalimbali zifanywazo na PPF hususan Mpango wa Wote Scheme.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUU WA WILAYA YA SAME, ROSEMARY STAKI AIKARIBISHA PPF WILAYANI HUMO KUWEKEZA KWENYE KIWANDA CHA KUCHAKATA TANGAWIZI
MKUU WA WILAYA YA SAME, ROSEMARY STAKI AIKARIBISHA PPF WILAYANI HUMO KUWEKEZA KWENYE KIWANDA CHA KUCHAKATA TANGAWIZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkokywXbqxJj2rM9H0LbZGzO5Kim9gQEatsX7hBUTMRWIc_fz7HMlka8o8pP4XfH-aXUS4CfG6BbC5DZkGorBbP77yKAId_6uped-gHQOMl9wKEMWFSxLiJ-jKF8_31u97DCN_UZccDWE/s640/5R5A8002.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkokywXbqxJj2rM9H0LbZGzO5Kim9gQEatsX7hBUTMRWIc_fz7HMlka8o8pP4XfH-aXUS4CfG6BbC5DZkGorBbP77yKAId_6uped-gHQOMl9wKEMWFSxLiJ-jKF8_31u97DCN_UZccDWE/s72-c/5R5A8002.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mkuu-wa-wilaya-ya-same-rosemary-staki.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mkuu-wa-wilaya-ya-same-rosemary-staki.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy