MKOA WA SONGWE WAPIGWA JEKI MIFUKO 125 YA CEMENT KUTOKA TPB
HomeJamii

MKOA WA SONGWE WAPIGWA JEKI MIFUKO 125 YA CEMENT KUTOKA TPB

Mkuu wa Mkoa wa Songwe (katikati) Luteni Mstaafu Chiku Galawa akipokea msaada wa Cement mifuko 125 yenye thamani ya shilingi ...








Mkuu wa Mkoa wa Songwe (katikati) Luteni Mstaafu Chiku Galawa akipokea msaada wa Cement mifuko 125 yenye thamani ya shilingi mililioni 2 kutoka kwa benki ya Posta Tanzania (TPB) tawi la Mbeya. Kulia ni Meneja Benki ya Posta Mbeya, Humphrey Julias, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, John Palingo (kushoto) na Meneja wa benki ya Posta tawi la Tunduma, Teddy Msanzi.
 

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa mifuko ya cement 125 kutoka benki ya Posta Tanzania (TPB)Tawi la Mbeya ,hafla ambayo imenyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Songwe Octobar 18 mwaka huu.

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi John Palingo akishukuru mara baada ya kupata msaada wa Cement1 kutoka benki ya Posta Tanzania (TPB)

Mkuu wa Mkoa Songwe Picha ya Pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Songwe na wadau mbalimbali .



BENKI ya Posta Tanzania(TPB) kupitia tawi lake Mkoani Mbeya, imetoa msaada wa mifuko ya saruji  125  thamani ya shilingi milioni 2.5 kwa serikali ya Mkoa mpya wa Songwe.

Akikabidhi mifuko hiyo , kwa uongozi wa serikali ya Mkoa wa Songwe, Meneja wa benki ya Posta mkoa wa Mbeya, Humphrey Julius amesema benki hiyo iliguswa na suala la ujenzi wa majengo mapya ya ofisi za Mkoa wa Songwe hivyo kuona umuhimu wa kuchangia ikiwa kama faida wanayoipata kutoka kwa wateja wanaowahudumia.

Amesema, mbali na kutoa msaada huo wa mifuko ya saruji, pia benki hiyo imeshakabidhi madwati 130  kwa baadhi ya shule za msingi za Wilaya ya Tunduma, Ileje zilizopo Mkoani Songwe na dawati 30 kwa shule ya Mbeya Day Mkoani Mbeya.

Amesema, serikali pekee haiwezi kufanya mambo yote ni lazima wadau zikiwemo Taasisi, Mashirika, Asasi na mtu mmoja mmoja kuingiza mikono yao ili kuipungizia serikali mzigo.

Hata hivyo, akipokea msaada huo, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Luten Mstaafu  Chiku Galawa, aliishukuru benki ya Posta kwa msaada huo, muhimu kwani serikali ya Mkoinahitaji zaidi ya mifuko 50 elfu ya saruji na mabati  laki moja kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa majengo ya ofisi pamoja na shule na Zahanati.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKOA WA SONGWE WAPIGWA JEKI MIFUKO 125 YA CEMENT KUTOKA TPB
MKOA WA SONGWE WAPIGWA JEKI MIFUKO 125 YA CEMENT KUTOKA TPB
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj50Btd8v_u33JcOz3KyR0BtrzEfLjFF72SRAAWp4EEksR0x1cSeUXI3PwXe768wYikC_85QIp8BV6QX-P7tzgiwDwWevUwu5wNHqzYQPGiCFkyVSBKEe88azW_05IqWrBkF17iO_QrtF5z/s640/IMG_3413.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj50Btd8v_u33JcOz3KyR0BtrzEfLjFF72SRAAWp4EEksR0x1cSeUXI3PwXe768wYikC_85QIp8BV6QX-P7tzgiwDwWevUwu5wNHqzYQPGiCFkyVSBKEe88azW_05IqWrBkF17iO_QrtF5z/s72-c/IMG_3413.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mkoa-wa-songwe-wapigwa-jeki-mifuko-125.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mkoa-wa-songwe-wapigwa-jeki-mifuko-125.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy