MCHAPALO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA SERENGETI PREMIUM LAGER WANOGA
Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya  ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya miaka 20  tangu kuanzishwa kwa bia ya Serengeti Premium Lager (SPL)  mwaka 1996.Pia kulizinduliwa chapa mpya ya Bia hiyo  .hafla hiyo ilifanyika siku ya alhamisi  katikaHOTELIMCHAPALO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA SERENGETI PREMIUM LAGER WANOGA ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam
HomeJamii

MCHAPALO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA SERENGETI PREMIUM LAGER WANOGA

Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya  ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya mia...

KWANDIKWA: ATEMA CHECHE KWA MKANDARASI KUONGEZA MITAMBO NA WAFANYAKAZI
UJENZI WA MELI MPYA ZIWA VICTORIA WAIVA
IGP SIRRO AHIMIZA JESHI LA POLISI KUDUMISHA MICHEZO








Mgeni Rasmi Waziri Wa
Viwanda, Biashara  Na Uwekezaji, Mh. Charles
Mwijage (Mb) akitoa hotuba kwa wageni waliohudhuria hafla ya kutimiza miaka 20 ya bia ya Serengeti premium lager .Hafla ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar Es salaam.


Mwenyekiti wa Bodi ya SBL Nehemiah Mchechu akitoa hotuba yake katika hafla ya kutimiza miaka 20 ya Bia ya Serengeti Premium Lager na pia kuzinduliwa kwa muonekano mupyaa wa bia hiyo mapema siku ya alhamisi.







Wageni waalikwa katika hafla hiyo wakifurahia jambo


Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie (katikati) akijadiliana jambo na Mkurungezi wa Mawasiliano wa SBL John Wanyacha na Mkurungezi wa Masoko wa SBL Ceasar Mloka katka tafrija mchapalo ya kutimiza miaka 20 ya bia ya Serengeti Premium Lager 


Meneja Masoko wa SBL Anitha Msangi akitoa ufafanuzi wa safari ya bia ya serengeti premium lager toka ilipoanzishwa miaka 20 iliyopita ikiwa ni ubunifu wa mtanzania Winston Kagusa 


Burudani maridadi ikiendelea wakati wa tafrija hiyo



Mgeni Rasmi Waziri Wa Viwanda, Biashara  Na Uwekezaji, Mh. Chrles Mwijage (Mb) (wa kwanza kushoto )akifurahia muonekano mpya wa bia ya Serengeti Premium Lager mara baada ya uzinduizi pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya SBL Nehemiah Mchechu (katikati ) na  Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.


Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wakiifuatilia kwa makini uzinduizi wa muoenkano mupyaa wa Serengeti Premium Lager 








Wadau wakipozi katika picha ya chui ambayo ni nembo ya bia ya serengeti


Wadau wakifurahia muonekano mpya wa bia ya Serengeti Premium lager






Wageni waalikwa wakifurahia burudani iiliyotolewa katika hafla ya  maadhimisho ya miaka 20 ya Bia ya Serengeti na pia uzinduzi rasmi wa muoenekano mpya wa bia hiyo .Hafla hiyo iliyofanyika  katika Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MCHAPALO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA SERENGETI PREMIUM LAGER WANOGA
MCHAPALO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA SERENGETI PREMIUM LAGER WANOGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjCO2-yjvQpHjtAYTfgVHnEpYQ4bsOWJS7Ub-DTpt__xKDtCR_Nge6RCZSZH_501PO1IuzGcnGHPM7n_KaRGTh9EoLpUQgLQ1L3AGPDwIdnbby3siHoLzwjQLj7iZzB_brUZN4ZP9A3Ts/s640/IMG_9470.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjCO2-yjvQpHjtAYTfgVHnEpYQ4bsOWJS7Ub-DTpt__xKDtCR_Nge6RCZSZH_501PO1IuzGcnGHPM7n_KaRGTh9EoLpUQgLQ1L3AGPDwIdnbby3siHoLzwjQLj7iZzB_brUZN4ZP9A3Ts/s72-c/IMG_9470.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mchapalo-wa-maadhimisho-ya-miaka-20-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mchapalo-wa-maadhimisho-ya-miaka-20-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy