Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Zanzibar Mhe. Ibrahim Raza akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Kisauni alipofik...
Mbunge
wa Jimbo la Kiembe Samaki Zanzibar Mhe. Ibrahim Raza akisalimiana na
wanafunzi wa Shule ya Kisauni alipofika kukabidhi madawati katika skuli
hiyo na kuona changamoto zao.
Mwalimu
wa Biology wa Shule ya Kisauni Muh’d Ali Muh’d akimueleza Mbunge wa
Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Ibrahim Raza juu ya uhaba wa vifaa vya
maabara katika skuli hiyo.
Mbunge
wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Ibrahim Raza akimkabidhi msaada wa
Madawati 80 Mwalim Mkuu wa Shule ya Kisauni Machalila Kulima Ndega
kwajili ya shule hiyo.
Sehemu ya madawati 80 yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Ibrahim Raza.
Mbunge
wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Ibrahim Raza akizungumza na walimu na
wanafunzi wa Skuli ya Kisauni baada ya kukabidhi madawati katika shule
hiyo.
(Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar).


COMMENTS