MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA KITABU KINACHOELEZEA MAHUSIANO NA URAFIKI WA TANZANIA NA USWISI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini T...




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake,Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 
 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely pamoja na Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli (kushoto) muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake, kushoto ni Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli,Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 
 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely , Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli (kushoto) pamoja na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Bi. Romana Tedeschi na Maafisa wengine muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake,Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akipokea kitabu cha A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake kutoka kwa Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu hicho, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akifunua ukurasa wa kitabu cha A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake kama ishara ya kukizindua kitabu hicho mbele ya Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely , Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwaka huu Swaziland na Tanzania inatimiza miaka 50 ya mahusiano ya kidiplomasia baina baina ya nchi hizi mbili. Katika kuadhimisha shughuli hii, Ubalozi wa Swaziland umezindua kitabu kinaitwa A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake. Kitabu hiki kimezinduliwa rasmi na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA KITABU KINACHOELEZEA MAHUSIANO NA URAFIKI WA TANZANIA NA USWISI
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA KITABU KINACHOELEZEA MAHUSIANO NA URAFIKI WA TANZANIA NA USWISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5TmA5bm6diq7XDvGgv2rBx_EpB7vxflVo37QEFWTCSz0JuBCADpD0Vs4cvz_yWZRkZnIjEqmg6FdFBi3r8-ST8-nOle4JJZB2vfOimLch4OqnccEjjhgKxs6HHv1pVWp0BChr-YDuzrw/s640/4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5TmA5bm6diq7XDvGgv2rBx_EpB7vxflVo37QEFWTCSz0JuBCADpD0Vs4cvz_yWZRkZnIjEqmg6FdFBi3r8-ST8-nOle4JJZB2vfOimLch4OqnccEjjhgKxs6HHv1pVWp0BChr-YDuzrw/s72-c/4.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/makamu-wa-rais-mhe-samia-azindua-kitabu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/makamu-wa-rais-mhe-samia-azindua-kitabu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy