BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI LAJADILI MKAKATI WA KUPUNGUZA AJALI

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani  ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mha...




Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani  ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wajumbe wa baraza hilo wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kupunguza Ajali za Barabarani. Kulia ni Katibu Mtendaji wa baraza ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara hiyo, Dar es Salaam. 
 
 
6
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani nchini  ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, akifungua kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kupunguza Ajali za Barabarani.Kushoto ni  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani  ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara hiyo, Dar es Salaam.
7
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani  ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongoza kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kupunguza Ajali za Barabarani. Kushoto  ni Katibu Mtendaji wa baraza ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara hiyo, Dar es Salaam.
 
 
8
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka Kikosi cha Usalama Barabarani, Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Mossi Ndozero, akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkakati wa Kupunguza Ajali za Barabarani kwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani  ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya mkakati huo, kilichofanyika katika ukumbi wa wizara, Dar es Salaam. 
 
 
9
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Hamza Kasongo (kulia), akichangia mada wakati wa kujadili  taarifa ya maendeleo ya Mkakati wa Kupunguza Ajali za Barabarani wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya mkakati huo. Kushoto ni mjumbe wa baraza hilo Henry Bantu. Kikao hicho  kilifanyika katika ukumbi wa wizara, Dar es Salaam.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI LAJADILI MKAKATI WA KUPUNGUZA AJALI
BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI LAJADILI MKAKATI WA KUPUNGUZA AJALI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilIPdgZuTYjpzFOcpB-SnN8juE9tDLB8AXuoHbW4DIT1_9axCyNGGuE-Quu8r5ZKMs4LgXUEMFV704C-RDWYpjWsqQx5DqDkSEbggIBKJ58GQO3GYNPZsP7gFW3_MdBPQn1_tuKhc9g5Y/s640/5-8-768x525.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilIPdgZuTYjpzFOcpB-SnN8juE9tDLB8AXuoHbW4DIT1_9axCyNGGuE-Quu8r5ZKMs4LgXUEMFV704C-RDWYpjWsqQx5DqDkSEbggIBKJ58GQO3GYNPZsP7gFW3_MdBPQn1_tuKhc9g5Y/s72-c/5-8-768x525.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/baraza-la-taifa-la-usalama-barabarani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/baraza-la-taifa-la-usalama-barabarani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy