Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya atambulikaye kwa jina la kisanii Afande Sele akizungumza jambo mbele ya Makamu wa Raisi na ...
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya atambulikaye kwa jina la kisanii Afande Sele akizungumza jambo mbele ya Makamu wa Raisi na wananchi, mara baada ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kusalimiana na wananchi wa Morogoro mjini kijiji cha Msamvu alipokua njiani akielekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu leo Octoba 15, 2016. Kulia ni MKuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt Kebwe Stephen.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Morogoro
mjini, kijiji cha Msamvu alipokua njiani akielekea Mkoani Dodoma kuanza
ziara ya kikazi ya siku nne leo Octoba 15, 2016.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Morogoro katika kijiji cha Msamvu leo Octoba 15,2016.
Mkuu
wa mkoa wa Morogoro, Dkt Kebwe Stephen akizungumza jambo na Msanii
mkongwe wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Afande
Sele mapema leo mchana, mara baada ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan kusalimiana na wananchi wa Morogoro mjini kijiji cha Msamvu
alipokua njiani akielekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi ya siku nne leo Octoba 15, 2016.(Picha na Makamu wa Rais)
COMMENTS