SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA) LAKABIDHI JENGO LA BWALO LA CHAKULA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MWIKA

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakiti...







Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi, Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil  186,494,890 zimetumika.
 
Baadhi ya Wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mwika wakiwa katika hafla fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo kwa ajili ya Chakula.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi hati, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki baada ya saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi, Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh
Mil  186,494,890 zimetumika.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki akizindua jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi, Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kushirkiana na Halmashauri ya
wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ,ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil  186,494,890 zimetumika.kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi.

 
Baadhi ya Wanafunzi katika shule ya Sekondari ya Mwika. 

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki akizungumza mara baada ya kuzindua jengo la Bwalo la Chakula katika shule ya sekondari ya Mwika lililojengwa kutokana na msaada wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la kulia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mwika. 

Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibooki akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Jengo la Bwalo la Chakula katika shule ya sekondari ya Mwika lililojengwa kwa msaada wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa ushirikiano na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na wananchi.

(Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog, Kanda ya Kaskazini).

 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA) LAKABIDHI JENGO LA BWALO LA CHAKULA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MWIKA
SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA) LAKABIDHI JENGO LA BWALO LA CHAKULA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MWIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgI55oIBE2bu01ZwWmZ_5GNedIYq07mKQwwqPUWpiWq-xRXcbOUZQFvsTiMUpP_wxD__S77ifsEN0VGAezFcRaBSG-oHkmyAvNjLhwejKP3baxhXIETp6w7dJ3VVHng1FIp-Y3BNaPxg00/s640/P1970407.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgI55oIBE2bu01ZwWmZ_5GNedIYq07mKQwwqPUWpiWq-xRXcbOUZQFvsTiMUpP_wxD__S77ifsEN0VGAezFcRaBSG-oHkmyAvNjLhwejKP3baxhXIETp6w7dJ3VVHng1FIp-Y3BNaPxg00/s72-c/P1970407.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/08/shirika-la-hifadhi-za-taifa-tanapa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/shirika-la-hifadhi-za-taifa-tanapa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy