Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zaman...
Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa
mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani
wa Kilindi sasa yatafanyika siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo
Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.
![]() |
| Mhe. Beatrice Shelukindo Matumbo enzi za uhai wake. Bwana Ametoa Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe. |


COMMENTS