Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kii...
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda
akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa
Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati
alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na
kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Glorius Nkinda
ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi ya
Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke
wakati akijibu swali la Hesabu alilomuuliza. Mhe. Pinda alitembelea shule hiyo
hivi karibuni kwa ajili ya kuwasalimia wanafunzi na
kujionea maendeleo ya shule hiyo
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda
akimsikiliza Kelvin Agustino mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya
Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani
Temeke alipokuwa akisoma kitabu cha Kiingereza wakati alipoitembelea shule hiyo
hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya
shule hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda
akiongea na wanafunzi wa darasa la kwanza wa shule ya Msingi ya
Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke
wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi
na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda
akiwa katika picha ya pamoja na walimu pamoja na wanafunzi wa darasa la tatu
wakati alipoitembelea shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya
Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule
hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo
ya shule hiyo.
COMMENTS