KWAYA YA GIGAL PASIANSI JIJINI MWANZA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA WIKENDI HII.

Kanisa la Gilgal Christian Ministries International, lililopo Pasiansi Ilemela jijini Mwanza chini ya Askofu Eliab Sentozi, linaw...








Kanisa la Gilgal Christian Ministries International, lililopo Pasiansi Ilemela jijini Mwanza chini ya Askofu Eliab Sentozi, linawakaribisha wana wa Mungu katika Uzinduzi wa albamu Mpya ya “Nayajua Mawazo” iliyoimbwa na Kwaya ya kanisa hilo ijulikanayo kama “Gilgal Choir”.



Uzinduzi huo wa Kihistoria unatarajiwa kufanyika jumapili ijayo tarehe 12.06.2016 kuanzia saa nane mchana, katika viwanja
vya kanisa hilo, ambapo hakuna kiingilio, yaani watu wote watashuhudia uzinduzi huo BURE kabisa.

Waimbaji mbalimbali kama vile Emmanuel Mwakisepe, Sarah Joel, HHC Ilemela Choir, Rivival Mission Band, EAGT Mlima wa
Utukufu Choir, AIC Nyakato, EAGT Lumala Mpya, EAGT Msumbiji, Happnes Mwakyusa Band, Uinjilisti Choir Gilgal, EAGT Imani Pasiansi, Betty  Lucas, Christian Calvin na wengine wengi watakuwepo ili kunogesha uzinduzi huo.

Kwa ushauri zaidi, Wasiliana na Gilgal Choir kwa nambari za simu 0757 16 85 85 au 0753 89 37 55 na Mwenyezi Mungu
Atakubariki zaidi.
Bonyeza Hapa Kusikiliza Au Play Hapo Chini

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KWAYA YA GIGAL PASIANSI JIJINI MWANZA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA WIKENDI HII.
KWAYA YA GIGAL PASIANSI JIJINI MWANZA KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA WIKENDI HII.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizcsnF_rqeufHncKEppgF8rvXaOnuLCixjPS4wNr_mHv3a-BTz2fR72pGHz66NM7FVNXFMEk0AfqyUzBJazfGk9coAbxzD-ajkWXdcxKMDrkpb2EnSYjeScx2Rot2hbsIFLky4EZD5wqM/s640/9+-+Copy.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizcsnF_rqeufHncKEppgF8rvXaOnuLCixjPS4wNr_mHv3a-BTz2fR72pGHz66NM7FVNXFMEk0AfqyUzBJazfGk9coAbxzD-ajkWXdcxKMDrkpb2EnSYjeScx2Rot2hbsIFLky4EZD5wqM/s72-c/9+-+Copy.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/06/kwaya-ya-gigal-pasiansi-jijini-mwanza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/kwaya-ya-gigal-pasiansi-jijini-mwanza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy