Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania ...
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias
Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
|
![]() |
Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe akimshukuru Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli mara baada ya
kuamuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
|




COMMENTS