MAONESHO YA NNE YA MADINI YA KIMATAIFA ARUSHA GEM FAIR YAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ar...







Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda leo katika hoteli ya Mount Meru .


Kaimu Kamishna wa Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa madini nje ya nchi.


Mwenyekiti wa kamati ya Arusha Gem Fair,Peter Pereira akitoa neno la utanguliza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya madini yanayohudhuriwa na waoneshaji na wanunuzi zaidi ya 400 kutoka sehemu mbalimbali duniani.


Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Nishati na Madini wakiwa kwenye maonesho ya madini jijini Arusha.


Wadau wa sekta ya madini wakimsikiliza Mkuu wa wilaya.


Wadau wa sekta ya madini wakimsikiliza Mkuu wa wilaya.



Wanunuzi wa madini wakiangalia aina mbalimbali za madini kabla ya kununua.


Madini aina ya Tanzanite 


Madini ya aina mbalimbali ambayo ni kati ya yanayooneshwa kwaajili ya kutafutiwa soko.


Mkurugenzi wa kampuni ya Ruvu Gemstone Mining Company Limited, Dimitris Mantheakis (kushoto)akiwa na wateja wanaongalia aina za madini.

(Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com,Arusha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAONESHO YA NNE YA MADINI YA KIMATAIFA ARUSHA GEM FAIR YAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA
MAONESHO YA NNE YA MADINI YA KIMATAIFA ARUSHA GEM FAIR YAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhC92DfFAFUaNFQatMGaGP6zseaZA9A-bLuRmAdg1e6gpX7qEld20042uoLEJJUM_5E80Hee6ufdU0sn94i1S0y8TX3uMmKtsNkGF30wiPSSUSjI6hcXQfSOi3JmqVZ4qemHL4D9gDhLb3Q/s640/A.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhC92DfFAFUaNFQatMGaGP6zseaZA9A-bLuRmAdg1e6gpX7qEld20042uoLEJJUM_5E80Hee6ufdU0sn94i1S0y8TX3uMmKtsNkGF30wiPSSUSjI6hcXQfSOi3JmqVZ4qemHL4D9gDhLb3Q/s72-c/A.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/04/maonesho-ya-nne-ya-madini-ya-kimataifa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/04/maonesho-ya-nne-ya-madini-ya-kimataifa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy