KUELEKEA KILELE CHA WIKI YA KINYWA NA MENO KITAIFA MACHI 20 MWAKA HUU MOROGORO, MADAKTARI WAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA MGOLOLE

 Makamu wa Rais wa chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno na Dk, Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Ambege Mwakato...









 Makamu wa Rais wa chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno na Dk, Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Ambege Mwakatobe akimuangalia Kinywa mtoto Ferdinandi Chales (1)  wakati wa kuelekea Madhimisho ya  Afya ya Kinywa na Meno yatakayofanyika kesho Machi 20, 2016. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Daktari Bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Deogratias Kilasara akimfanyia ukaguzi wa Kinywa na Meno,  Godfey  Mikael (10) wakati walipotembelea kituo cha Nyumba ya watoto Yatima Mgolole Mkoani Morogoro katika kuelekea Maadhimishoa ya Kilele cha Maadhimisho hayo machi 20, ambapo Kitaifa yatafanyika Mkoani humo
 Mmoja wa Walezi wa Watoto wa liyopo kituo cha Nyumba ya watoto Yatima Mgolole Mkoani Morogoro, Filbertha Kunambi (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watoto hao, ambapo na yeye alilelewa kituoni hapo na hadi sasa ametimiza miaka 50 bado ana pata huduma mbalimbali kituoni hapo
  Makamu wa Rais wa chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno na Dk, Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Ambege Mwakatobe aliyevaa kofia  akiwa katika picha ya pamoja na madaktari wenzake, walezi na watoto mara walipotembelea kituoni hapo katika wiki ya kinywa na meno Duniani ambapo Kitaifa yatafanyika Mkoani Morogoro machi 20, 2016.


 Makamu wa Rais wa chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno na Dk, Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Ambege Mwakatobe akiwa eneo la tukio kwenye uwanja wa Shule ya Msingi K. Ndege Sabasaba Morogoro, ambapo Shughuli za Maadhimisho ya Kilele cha Afya ya Kinywa na Meno yatakapo fanyikia Machi 20, 2016. (Imeandaliwa na Khamis Musa wa ujijiraha.blogspot.com)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUELEKEA KILELE CHA WIKI YA KINYWA NA MENO KITAIFA MACHI 20 MWAKA HUU MOROGORO, MADAKTARI WAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA MGOLOLE
KUELEKEA KILELE CHA WIKI YA KINYWA NA MENO KITAIFA MACHI 20 MWAKA HUU MOROGORO, MADAKTARI WAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA MGOLOLE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQbfOvW3mQaXeP8oA6x4aBpMxXU4oFv8VLU8DD57g-aG_qMXT7ugWbKl3wHR9xhmprDFnjAZ9QC1-RMILOKrbhWzQXjr5tXk_aVZOUjPBBtG3i-gqkNgYUKfddXSpcfEbQcVRqpiO6Rtkw/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQbfOvW3mQaXeP8oA6x4aBpMxXU4oFv8VLU8DD57g-aG_qMXT7ugWbKl3wHR9xhmprDFnjAZ9QC1-RMILOKrbhWzQXjr5tXk_aVZOUjPBBtG3i-gqkNgYUKfddXSpcfEbQcVRqpiO6Rtkw/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/03/kuelekea-kilele-cha-wiki-ya-kinywa-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/03/kuelekea-kilele-cha-wiki-ya-kinywa-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy