WANAWAKE WAFANYAKAZI WA NBC WAZINDUA MTANDAO UTAKAOJUMUISHA WATEJA WANAWAKE. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya...
WANAWAKE WAFANYAKAZI WA NBC WAZINDUA MTANDAO UTAKAOJUMUISHA WATEJA WANAWAKE.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu
(katikati) na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana
(CMSA), Grace Rubambey (kushoto) na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wafanyakazi
Wanawake wa NBC, Cynthia Ponera wakibonyeza kitufe jijini Dar es Salaam
ili kuzindua kwa mara ya pili Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi
wa NBC utakaojumuisha pia wateja wanawake.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu (kulia)
akimwekea kinywaji Mwenyekiti wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na
Dhamana (CMSA), Grace Rubambey (kushoto) katika hafla ya uzinduzi wa
mara ya pili wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC
utakaojumuisha pia wateja wanawake. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Hispitali ya Taifa Muhimbilki, Dk Marina Njelekela.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu (kulia)
akibadilishsna mawazo na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na
Dhamana (CMSA), Grace Rubambey (katikati) katika hafla ya uzinduzi wa
mara ya pili wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC
utakaojumuisha pia wateja wanawake. Kushoto ni Meneja Masoko wa NCB,
Alina Maria Kimaryo.
Mwenyekiti
wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC, Cynthia Ponera (wa
pili kulia) akizungumza na baadhi wa wateja wanawake wa benki hiyo
waliohudhuria uzinduzi huo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tano kulia) akiwa katika na
baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa
Wateja Wakubwa katika jengo la Coco Plaza jijini Dar es Salaam baada ya
uzinduzi huo.
COMMENTS