RAIS KIKWETE AONDOKA ADDIS ABABA BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA SIKU MOJA CHA VIONGOZI WA AFRIKA Rais Jakaya Mrisho Kikwete ak...
RAIS KIKWETE AONDOKA ADDIS ABABA BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA SIKU MOJA CHA VIONGOZI WA AFRIKA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole baada ya viongozi hao kuhudhuria
kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,
Ethiopia.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Sheria na Katika Mhe.
Mathias Chikawe na Balozo wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz
baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika
jijini Addis Ababa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa Mwandamizi katika Ubalozi wa
Tanzania nchini Ethiopia Bw. Nsavike Ndatta baada ya kuhudhuria kikao
cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia
Mhe Naimi Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa
Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole baada ya viongozi hao
kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini
Addis Ababa, Ethiopia.
Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa
mkutano huo.
|
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati katika hafla hiyo. |
Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa
mkutano huo.
|
Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal, akipokea picha ya mchoro yenye thamani ya Sh. milioni 2.2 kutoka kwa wawakilishi wa NSSF walioinunua picha hiyo wakati wa hafla hiyo. |
Makamu wa Rais,
Dk Mohammed Gharib Bilal, akitangaza fedha zilizopatikana kwenye hafla hiyo.
|
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Montage Limited,
Teddy Mapunda, akitoa shukrani kwa wadhamini na wahisani
waliojitokeza, kushiriki kuandaa pamoja naye hafla hiyo. (Picha na OMR)
|
COMMENTS