ZANTEL YAKABIDHI FEDHA MAKTABA KUU YA ZANZIBAR KWA AJILI YA UNUNUZI WA VITABU

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 10 kwa maktaba kuu ya Zanzibar kwa Mku...











Mkurugenzi
Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 10
kwa maktaba kuu ya Zanzibar kwa Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi
Sichana Haji Foum (kulia). Wanaotazama ni kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Bwana Abdallah Mzee na upande wa 
1.    kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Huduma za Maktaba Zanzibar,
Suleiman Yahya.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto) akikabidhi
hundi ya shilingi milioni 10 kwa maktaba kuu ya Zanzibar kwa Mkurugenzi wa
Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum.




Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji
Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya vitabu vya Maktaba Kuu ya Zanzibar,
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Bwana Abdallah Mzee (katikati) baada ya kampuni ya Zantel kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.

  Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa
maktaba kuu ya Zanzibar. kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Abdalla Mzee. 








Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Abdallah Mzee akiishukuru kampuni ya Zantel baada ya kupokea msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar. kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin.









Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Sichana Haji Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya vitabu vya Maktaba Kuu ya Zanzibar, Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu
na Mafunzo ya Amali, Abdallah Mzee (katikati) baada ya kampuni ya Zantel kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.
Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Sichana Haji Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya vitabu vya Maktaba Kuu ya Zanzibar, Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu
na Mafunzo ya Amali, Abdallah Mzee (katikati) baada ya kampuni ya Zantel kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.










Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Sichana Haji Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya Komputa za Maktaba Kuu ya Zanzibar,
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin, wakati wa kutembela maktaba hiyo baada ya hafla ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.


(Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZANTEL YAKABIDHI FEDHA MAKTABA KUU YA ZANZIBAR KWA AJILI YA UNUNUZI WA VITABU
ZANTEL YAKABIDHI FEDHA MAKTABA KUU YA ZANZIBAR KWA AJILI YA UNUNUZI WA VITABU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaf8s6PhWAuYIEL54cKto8REoaoTF6N-_tSgd-JHEZRKffaS8epzExIPjC97pnj_TiwGv76w85igJIeQEHlVmkGZKo6mBa2Q51bcnTdyEzwsoRKcy9jqWJuWyHa-cRGtLQFF0nbrx4pRuU/s640/DSC_0265.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaf8s6PhWAuYIEL54cKto8REoaoTF6N-_tSgd-JHEZRKffaS8epzExIPjC97pnj_TiwGv76w85igJIeQEHlVmkGZKo6mBa2Q51bcnTdyEzwsoRKcy9jqWJuWyHa-cRGtLQFF0nbrx4pRuU/s72-c/DSC_0265.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/02/zantel-yakabidhi-fedha-maktaba-kuu-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/02/zantel-yakabidhi-fedha-maktaba-kuu-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy