WAZIRI WA MPANGO ATETA NA WAFANYABIASHARA MKOA WA ARUSHA,WAAHIDI KUUNGA MKONO SERIKALI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza na jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Arusha leo katika ukumbi wa Mkuu wa ...








Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza na jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Arusha leo katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa na kuwakumbusha wajibu wao kulipa kodi stahiki ili kukuza uchumi wa nchi,kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fadhil Nkurlu na Kamishna wa Kodi za ndani, Shogholo Mgonja.


Kamishna wa Kodi za ndani, Shogholo Mgonja akijibu hoja za wafanyabiashara mkoa wa Arusha huku Waziri wa Fedha na Mipango,Philip Mpango akifatilia kwa makini . 


Mfanyabiashara wa Usafirishaji ambaye ni Katibu wa Wamiliki wa magari ya abiria mkoa wa Arusha na Kilimanjaro (AKIBOA) Roken Adolf akiuliza maswali na kutoa maoni ya wanachama wenzake.


Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha nguo na bidhaa mbalimbali cha A to Z, Anuj Shah akizungumza namna mlolongo wa nyingi unavyowakera wawekezaji wa ndani.


Mkurugeni wa taasisi kilele inayohusika na kilimo cha mbogamboga na matunda ya TAHA, Jackline Mkindi aliiomba serikali kuweka mazingira mazuri na kupunguza kodi ili kuwezesha ndege za mizigo kutoa huduma zao hapa nchi badala ya kusafirisha mazao yao kupitia nchi ya Kenya.


Mkurugenzi wa Kibo Guides and Tanganyika Wildernes Camps akizungumza kwenye mkutano huo ambao aliiomba serikali kuwabana wafanyabiashara wa utalii wanaokwepa kodi.


Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Longido, Ernest Kahindi,Mkuu wa wilaya ya Monduli, Francis Miti na Mkuu wa wilaya ya Karatu,Omary Kwaang' wakifatilia miongoni mwa maafisa wa serikali waliohudhuria mkutano huo.


Wafanyabiashara kutoka sekta mbalimbali waliohudhudia mkutano huo










(Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com,Arusha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA MPANGO ATETA NA WAFANYABIASHARA MKOA WA ARUSHA,WAAHIDI KUUNGA MKONO SERIKALI
WAZIRI WA MPANGO ATETA NA WAFANYABIASHARA MKOA WA ARUSHA,WAAHIDI KUUNGA MKONO SERIKALI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNOEkCA3aa1tnTC_hEEg5sR3jlUGM6fdxGdbQlaMZ5ROoCnVAIaAZOeZEgd4KWRx2blF4oNhHm3qjRr_eNmoKYgzIurpqIHwUINL7OG6ZPc0X3I-444q_2zRFRBIdCCm1TV3u7AXdPTW_-/s640/W+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNOEkCA3aa1tnTC_hEEg5sR3jlUGM6fdxGdbQlaMZ5ROoCnVAIaAZOeZEgd4KWRx2blF4oNhHm3qjRr_eNmoKYgzIurpqIHwUINL7OG6ZPc0X3I-444q_2zRFRBIdCCm1TV3u7AXdPTW_-/s72-c/W+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/02/waziri-wa-mpango-ateta-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/02/waziri-wa-mpango-ateta-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy