ZAWADI MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015) HADHARANI

Kikundi cha sarakasi kikitoa burudani wakati hafla fupi ya kutangaza zawadi kwa washindi wa mashindano ya Mbatia Cup 2015 . Baa...






Kikundi cha sarakasi kikitoa burudani wakati hafla fupi ya kutangaza zawadi kwa washindi wa mashindano ya Mbatia Cup 2015.

Baadhi ya viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo akiwa katika hafla fupi ya kutangaza zawadi kwa washindi wa mashindano ya Mbatia Cup 2015.
Mmoja wa Waratibu wa Mashindano ya Mbatia Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Vunjo, Danielson Shayo akizungumza wakati wa kutangaza zawadi kwa washindi.
Baadhi ya iongozi wa timu zinazoshiriki mashindano hayo.
Msaidizi wa Mbunge James Mbatia ,Hamis Hamis akizungumza katika hafa fupi ya utambulisho wa zawadi kwa washindi wa mashindano hayo yaliyofikia hatua ya nusu fainali.

Kikosi cha timu ya Wazalendo ambacho kimefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali.
Kikosi cha timu ya Himo fc kilichofanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali.
Moja ya heka heka wakati timu hizo zikitafuta nafasi ya kucheza hatua ya Nusu fainali.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.



Na Dixon Busagaga,Moshi.
KAMATI ya Mashindano ya Kombe la jimbo la Vunjo maarufu kama Mbatia Cup 2015 imetenga zaidi ya kiasi cha sh Mil 6 kama zawadi kwa washindi wa mashindano hayo yanayoingia hatua ya nusu fainali pili leo
Zawadi zilizotengwa ni pamoja na sh Mil 2,Kombe kubwa,Medali za Dhahabu na mipira mitatu kwa mshindi wa kwanza,Sh Mil 1,Kombe la kati,Medali za fedha na Mipira miwili kwa mshindi wa Pili huku mshindi wa tatu akipata Sh 500,000,Ngao,Medali za Shaba na Mpira mmoja.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Danielson Shayo alisema mbali na zawadi hizo kwa washindi,kamati pia imepanga kutoa zawadi za Jezi kwa timu nane ambazo zitafanikiwa kuigia hatua ya nane bora.
“Mshindi wan ne pia tumemuandalia zawadi ya Mpira ,mbali na jezi ambazo itakuwa imepata wakati wa kufanikiwa kuingia hatua ya Nane bora,lakini pia kuna zawadi kwa Mchezaji bora,Mfungaji bora,mlinda mlango bora,timu yenye nidhamu na kocha bora”alisema Shayo.
Shayo alisema mashindano hayo yatakayotumia viwanja vitano vya Chuo cha Ualimu,Marangu,Njia Panda,Kahe Magharibi, Himo Polisi na Ifati yamepangwa kuchezwa kwa mtindo wa mtoano .

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZAWADI MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015) HADHARANI
ZAWADI MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015) HADHARANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFQDE4iEoMB7-OtAJvVdl8cw7P1tGLpVxwREFtGtjey0hynNL17ZXYA0DMv5grcnn1HTR6dpMp4OMEXUqw8HWXQ82qTD1jSrp-mCg8KtkepgMvVtc1yX8CzDtN9LghyphenhyphenS0UO5V7jq-GgHt4/s640/DSCF5930.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFQDE4iEoMB7-OtAJvVdl8cw7P1tGLpVxwREFtGtjey0hynNL17ZXYA0DMv5grcnn1HTR6dpMp4OMEXUqw8HWXQ82qTD1jSrp-mCg8KtkepgMvVtc1yX8CzDtN9LghyphenhyphenS0UO5V7jq-GgHt4/s72-c/DSCF5930.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/08/zawadi-mashindano-ya-jimbo-la-vunjo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/zawadi-mashindano-ya-jimbo-la-vunjo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy