Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wa pili kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu ba...
Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wa pili
kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya
kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es
Salaam jana. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh.
milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi
wa maeneo hayo. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano
TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akimuonesha Mbunge
wa Ilala, Mussa Zungu moja ya nguo za kufanyia usafi wakati
walipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya
Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana.

Ofisa
Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu,
akizungumza wakati wa hafla hiyo, kiwandani jijini Dar es Salaam jana.
Kushoto ni Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu aliyekabidhiwa vifaa hivyo.
Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin,
akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vya usafi kwa Mbunge wa Ilala,
Mussa Zungu (kushoto) kwa ajili ya kufanyia usafi maeneo ya Mchikichini
na Jangwani, Dar es Salaam. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa mbalimbali
vya usafi vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya sh.
milioni 8 kwa ajili ya kazi hiyo kwenye maeneo hayo.
Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wa pili kulia),
akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi nguo za kuvaa wakati wa
kufanya usafi, wakati TBL ilipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa
ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani jijini Dar es Salaam jana. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia),
akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, reki za kufanyia usafi.
Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wa pili kulia),
akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, reki na glovu za kufanyia
usafi. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kushoto),
akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, mfano wa hundi ya sh. milioni 8
kwa ajili ya kazi za usafi wa maeneo hayo. Wengine pichani ni baadhi ya
Wenyeviti wa Mitaa ya maeneo hayo.

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin wakati wa makabidhino hayo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wa pili
kulia), wakati wa makabidhino hayo. Wa pili (kushoto) ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu na (kushoto) ni Mhandishi wa Ujenzi, Kiwanda cha TBL, John Malisa.
Mbunge
wa Ilala, Mussa Zungu, akiwapa nasaha viongozi wa maeneo hayo, juu ya
kuvitunza vifaa hivyo vya usafi pamoja na mambo mengine.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin, akijadiliana jambo na Ofisa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Dorris Malulu, wakati wa hafla hiyo.
COMMENTS