Timu ya Wanawake Wavuta Kamba wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipambana na Timu pinzani ya Uchukuzi (hawapo pichani) wakati wa fainali ya ...
|
Timu ya Wanawake Wavuta Kamba wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakipambana na Timu pinzani ya Uchukuzi (hawapo pichani) wakati
wa fainali ya michezo ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza Aprili 28,
2015.
|
|
Timu ya Wanaume Wavuta Kamba wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu pinzani ya Uchukuzi (hawapo pichani) wakati
wa fainali ya michezo ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa CCM
Kirumba Mkoani Mwanza Aprili 28, 2015.
|
|
Timu ya Wavuta Kamba Wanawake kutoka
Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Michezo ya Mei
Mosi Viwanja vya CCM Kilumba Mwanza Aprili, 2015.
|
|
Meneja wa Timu za Michezo ya Ofisi ya
Waziri Mkuu Bw. Suleman Kifyoga (kushoto) akiwa katika picha ya
pamoja na Timu ya Wavuta Kamba Wanaume wa Ofisi hiyo wakati wa Mshindano ya
Michezo ya Mei Mosi yaliyofanyika Viwanja vya CCM Kilumba Mwanza, Aprili 2015.
(Picha na Nyamagori Omari- Ofisa Habari OWM)
|
COMMENTS