HARAKATI ZA KUANZISHWA KWA KARIAKOO FAMILY FOUNDATION (KFF)

 Mwenyekiti wa Kariakoo Family Foundation (KFF) Mohamed Bhinda akiongoza kikao cha Kamati ya Utendaji katika kuandaa rasimu ya kati...







 Mwenyekiti wa Kariakoo Family Foundation (KFF) Mohamed Bhinda akiongoza kikao cha Kamati ya Utendaji katika kuandaa rasimu ya katiba ya chama hicho kinachotarajiwa kusajiliwa  hivi karibuni kama taasisi isiyo ya kiserikali kwa nia ya kukutanisha upya wadau wote waliozaliwa, walioishi na wenye asili ya Kariakoo katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Mkutano huu umefanyika Aprili 19  jioni Kinondoni Studio. Kushoto ni katibu wa chama hicho, Senpai Wahid
 Mtunza hazina wa KFF Yahaya Sameja akielezea namna chama hicho cha jamii ya wana Kariakoo kitavyoweza kujiendesha kwa njia za ada, michango na misaada ya wafadhili katika kuendeleza wanachama, ikiwa ni pamoja na kusaidiana katika shida na raha. Kushoto ni Mwenyekiti wa KFF Mohamed Bhinda na Makamu Mwenyekiti, Tatu Lumelezi.
 Wana KFF wakipata mlo wa mchana wakati wa mapumziko.
Jopo la kamati ya utendaji ya KFF baada ya mkutano wao.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: HARAKATI ZA KUANZISHWA KWA KARIAKOO FAMILY FOUNDATION (KFF)
HARAKATI ZA KUANZISHWA KWA KARIAKOO FAMILY FOUNDATION (KFF)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbP6plC4_BrNG9w7mD96QDJ_P8gQYZCc1hLdoFQg5NCYjLYbov0kbGCBnSrrmlbqGDhohQmt6eT4ShMCHK4737BFBn1vW9K_4KMhRPeMgTy838tkMD0O8K1aQ_Z-SG-ko2FRHJ_nt7FpxX/s1600/IMG_3927.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbP6plC4_BrNG9w7mD96QDJ_P8gQYZCc1hLdoFQg5NCYjLYbov0kbGCBnSrrmlbqGDhohQmt6eT4ShMCHK4737BFBn1vW9K_4KMhRPeMgTy838tkMD0O8K1aQ_Z-SG-ko2FRHJ_nt7FpxX/s72-c/IMG_3927.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/04/harakati-za-kuanzishwa-kwa-kariakoo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/harakati-za-kuanzishwa-kwa-kariakoo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy