WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM Waziri wa Ardh...
WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo.
Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya mradi huo.
Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya mradi huo. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com.simu namba 0712-727062)
Wadau wakipata picha ya pamoja na waziri Tibaijuka (katikati) mara baada ya majadiliano juu ya mradi huo.
COMMENTS