KINANA ASHUHUDIA MCHIMBAJI MDOGO WA TANZANIATE ANAVYOSAIDIA WENZAKE KWA KUWAUZIA KWA BEI NAFUU VIFAA VYA UCHIMBAJI MADINI HAYO MERERANI

KINANA ASHUHUDIA MCHIMBAJI MDOGO WA TANZANIATE ANAVYOSAIDIA WENZAKE KWA KUWAUZIA...


KINANA ASHUHUDIA MCHIMBAJI MDOGO WA TANZANIATE ANAVYOSAIDIA WENZAKE KWA KUWAUZIA KWA BEI NAFUU VIFAA VYA UCHIMBAJI MADINI HAYO MERERANI

Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite  kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro,  Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara, mapema wiki hii. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na anayerekebisha miwani ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. (Picha na Bashir Nkoromo)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KINANA ASHUHUDIA MCHIMBAJI MDOGO WA TANZANIATE ANAVYOSAIDIA WENZAKE KWA KUWAUZIA KWA BEI NAFUU VIFAA VYA UCHIMBAJI MADINI HAYO MERERANI
KINANA ASHUHUDIA MCHIMBAJI MDOGO WA TANZANIATE ANAVYOSAIDIA WENZAKE KWA KUWAUZIA KWA BEI NAFUU VIFAA VYA UCHIMBAJI MADINI HAYO MERERANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqnza6JLj9GwP3SY4RZ3TzVDXbYwQuemJmWbhoRmmNgns7Fz2aMwRmOSaI_cHPX-31WYIYYJNKDTKAfngmNA6TMMv88PjRq6x2NZcrPWZ6lTtm97Dx6hRslBc5GcAucKnVF9FEw5TQmes/s1600/1.+Mchimbaji+mdogo+wa+Mererani,+Mahmoud+Karia+%28kulia%29+akimuonyesha+Kinana+vifaa+vya+uchimbaji+amnavyouza+kwa+wachimbaji+wengine+pia.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqnza6JLj9GwP3SY4RZ3TzVDXbYwQuemJmWbhoRmmNgns7Fz2aMwRmOSaI_cHPX-31WYIYYJNKDTKAfngmNA6TMMv88PjRq6x2NZcrPWZ6lTtm97Dx6hRslBc5GcAucKnVF9FEw5TQmes/s72-c/1.+Mchimbaji+mdogo+wa+Mererani,+Mahmoud+Karia+%28kulia%29+akimuonyesha+Kinana+vifaa+vya+uchimbaji+amnavyouza+kwa+wachimbaji+wengine+pia.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/06/kinana-ashuhudia-mchimbaji-mdogo-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/06/kinana-ashuhudia-mchimbaji-mdogo-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy