Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kushoto) wakizungungumza na Kiongozi wa Kikundi cha Hifadhi ya Misitu na Ufugaji nyu...
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kushoto) wakizungungumza na Kiongozi wa Kikundi cha Hifadhi ya Misitu na Ufugaji nyuki cha Kambi ya Nduta wilayani Kibondo wakiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 3, 2013. Kulia ni Mkuu wa mkoa huo, Luteni Kanali mstaafu Issa machibya na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu (wa tatu kulia). |
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini kiongozi wa Kikundi hicho. |
|
Mhe. Pinda akiangalia mizinga ya ufugaji nyuki katika Kambi ya Nduta wilayani Kibondo akiwa katika ziara ya mkoani humo. Kulia ni mkewe Mam Tunu. |
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na na viongozi wa Kikundi cha Hifadhi ya Misitu na Ufugaji nyuki cha Kambi ya Nduta wilayani Kibondo baada ya kukagua miradi ya kikundi hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma. |
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi baada ya kakagua bwawa la Umwagiliaji la Nyendara wilayani Kibondo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
COMMENTS