Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Mwenyekiti wa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB) Mh. Freeman Mbowe Ikulu jij...
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani na wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla ya
kuanza mazungumzo kuhusu rasimu ya katika Ikulu leo. Kutoka (kushoto) mbele Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi,
Professa Ibrahim Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula
CCM, na Nancy Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.
Agustine Lyatonga Mrema. Waliosimama Nyuma kutoka (kushoto) ni Naibu
Katibu Mkuu CUF, Julius Mtatiro, Tundu Lissu CHADEMA, Martin Mng'ong'o NCCR Mageuzi, Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, Mhe. Habib Mnyaa CUF, Mbunge wa
Ubungo, pia Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA Mhe. John Mnyika, Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Mahusiano na Uratibu Mhe. Stephen Wassira na Waziri wa Katiba na
Sheria Mhe. Mathias Chikawe. (Picha na Freddy Maro) |
COMMENTS