RAIS KIKWETE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA, AHANI MSIBA WA TRAFIKI ALIYEGONGWA, AZINDUA MAABARA YA UHANDISI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha historia ya Uuguzi na Ukunga nchini wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la Uuguzi...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha historia ya Uuguzi na Ukunga nchini wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania  katika viwanja vya  Mnazi Mmoja, Machi 19, 2013
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku medali mmoja ya wauguzi wakongwe nchini aliyewahi pia kuwa Mbunge na Msajili wa wauguzi na wakunga Mama Jitto Ram wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita Machi 18, WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu eneo la za Ununio, Machi 19, 2013
Rais Jakaya Kikwete akiondoka kufungua rasmi Maabara ya kisasa na Uhandisi Jeni (Genetic Engineering) katika kituo cha utafiti wa Kilimo cha Mikocheni jijini Dar es Salaam Machi 19, 2013. Kushoto ni Dk. Chrtistopher Chiiza na (wa pili kulia) ni Mkuu wa kituo hicho, Joseph Ndunguru.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu alipokwenda kuhani msiba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa askari huyo. (Picha na Ikulu)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA, AHANI MSIBA WA TRAFIKI ALIYEGONGWA, AZINDUA MAABARA YA UHANDISI
RAIS KIKWETE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA, AHANI MSIBA WA TRAFIKI ALIYEGONGWA, AZINDUA MAABARA YA UHANDISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizQfe4KrF_z6-znjr9rsXNGR4LTdKLPBCHnLQa998eN57AS66KihMoRmOMKcoODiC-Ttuwyw0cCjbAd7mlBZStxBG7TF9hNhnmo1-25HSpVeRuPU_7ehdcUVD1paPvuxTLur-0aR9utho/s640/n1-765913.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizQfe4KrF_z6-znjr9rsXNGR4LTdKLPBCHnLQa998eN57AS66KihMoRmOMKcoODiC-Ttuwyw0cCjbAd7mlBZStxBG7TF9hNhnmo1-25HSpVeRuPU_7ehdcUVD1paPvuxTLur-0aR9utho/s72-c/n1-765913.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/03/rais-kikwete-kwenye-maadhimisho-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/03/rais-kikwete-kwenye-maadhimisho-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy