Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta...
|
Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa
pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli. |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wa Nyimbo za Mataifa
mawili (Tanzania & Afrika Kusini) zikipigwa katika viwanja wa Ikulu
jijini Dar es Salaam. |
|
Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akizungumza jambo na Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Dkt. John Pombe Magufuli |
|
Vikundi
vya Matarumbeta vikitoa burudani wakati Rais wa Afrika Kusini Jacob
Zuma alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU |
|
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mama Sizakele
Zuma Mke wa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma aliyeambatana na msaidizi
wake Ikulu jijini Dar es Salaam. |
|
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipiga ngoma wakati alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam. |
COMMENTS