MAKAMU WA RAIS DK BILAL AWASILI ABUJA KUHUDHURIA MKUTANO WA 12 WA AFRIKA WA KUJADILI UGONJWA WA UKIMWI, MALARIA, KIFUA KIKUU NA MAGONJWA MENGINE AMBUKIZI

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa  Nigeria, Isaiah Balat, wakati a...

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa Nigeria, Isaiah Balat, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikwe, jiji Abuja leo Julai 14, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano Mkuu wa 12 wa Afrika unaojadili Magonjwa ya Ukimwi, Malaria, Kifua Kikuu na Magonjwa mengine ambukizi, unaotarajia kuanza Julai 15 na kumalizika Julai 16. Kushoto ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal. 

 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa Nigeria, Isaiah Balat, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikwe, jijini Abuja. Nyuma yao ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal. (Picha na OMR)
 





 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS DK BILAL AWASILI ABUJA KUHUDHURIA MKUTANO WA 12 WA AFRIKA WA KUJADILI UGONJWA WA UKIMWI, MALARIA, KIFUA KIKUU NA MAGONJWA MENGINE AMBUKIZI
MAKAMU WA RAIS DK BILAL AWASILI ABUJA KUHUDHURIA MKUTANO WA 12 WA AFRIKA WA KUJADILI UGONJWA WA UKIMWI, MALARIA, KIFUA KIKUU NA MAGONJWA MENGINE AMBUKIZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiE0vg6KfHgVpvlH1w7KZhSiG8PVPC-kTFhimQID0DxMBlzINKvp-D-trip-g8mJzrJwT1nJF0u4TNHIUpQPFVuP-rvhlJAWcSyJud79-kh7yuQjAUD9GQLPYhp6CKxg1y2KQuYmB9jFGE/s640/1-734348.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiE0vg6KfHgVpvlH1w7KZhSiG8PVPC-kTFhimQID0DxMBlzINKvp-D-trip-g8mJzrJwT1nJF0u4TNHIUpQPFVuP-rvhlJAWcSyJud79-kh7yuQjAUD9GQLPYhp6CKxg1y2KQuYmB9jFGE/s72-c/1-734348.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/07/makamu-wa-rais-dk-bilal-awasili-abuja.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/07/makamu-wa-rais-dk-bilal-awasili-abuja.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy