Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Katibu Mkuu Kiongozi wa zamani, Timoth Apiyo wakielek...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Waziri Kiongozi wa zamani, Timoth Apiyo wakati wa mazishi yake huko Mkoani Mara leo.
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta na Mama Maria Nyerere wakati wa maziko.
|
Askari wa Jeshi la Wananchi wakati wa mazishi ya marehemu Timoth Apiyo.
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka shada la mauwa kwenye kaburi wakati wa mazishi ya marehemu Timoth Apiyo.
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mama Maria Nyerere baada ya mazishi ya marehemu Timoth Apiyo.
|

COMMENTS