Samahani picha hiyo ndo ya marehemu Sambeke maarufu kama 'Babu Sambeke' Hiyo ndo ndege iliyomuua Bilionea Babu Sambeke baada y...
|
Samahani picha hiyo ndo ya marehemu Sambeke maarufu kama 'Babu Sambeke' |
|
Hiyo ndo ndege iliyomuua Bilionea Babu Sambeke baada ya kuangaka.Hiyo ni mojawapo ya ndege alizokuwa akimiliki amabapo uchunguzi bado unaendelea kubaini chanzo cha ajali! |
|
Wakazi wa Arusha wakiangalia ndege iliyomuua Bilionea Sambeke |
|
Ndege aina ya Cessina 5H-QTT ikiwa imeanguka eneo la Kisongo, jirani na uwanja wa ndege wa Arusha Aprili 12 2013. |
|
Baadhi ya wataalam wakiangalia ndege iliyomuua Babu Sambeke aliyokuwa akiindesha mwenyewe. |
COMMENTS