vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya Triple A sport bar bendi town ijulikanayo kama Mount Meru R...
vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya
Triple A sport bar bendi town ijulikanayo kama Mount Meru
Rickernest
Waimbaji wa bandi ya Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau wa muziki wa bandi mkoani Arusha
Waimbaji wakiwa wanaendelea kupata burudani na mashabiki
Wanenguaji hatari kutoka bendi ya Rickinest Band wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani.
Apa mzuka ulikuwa umepanda hatari waliamua kuonyesha makeke ya kila aina.
Washabiki wa bandi ya Rickinest wakiwa wana show love kwa pamoja mara baada ya burudani kukolea.
Wanadada wa A-Town waliouthuria katika show hiyo ya Mounti Meru Rickinest Band wakiwa katika pozi.
Kushoto ni shabiki mkuu wa band ya Rickinest
music band Omary Matelephone akiwa anabadilishana mawazo na shabiki
mwenzake ambalo jina lake alikuweza kufahamika mara moja.
mmoja
wa wakurunzi wa band hiyo wa kwanza kulia akiwa anaserebuka sebene la
nguvu wakati wanamuziki wakifanya yao (picha zote na Woinde
Shizza,Arusha)
Bendi
hii ya Mounti Meru Rickernest bandi inafanya onyesho lake kila siku ya
ijumaa ,jumamosi na jumapili katika ukumbi wa Triple A sport bar
Bendi hii ni mpya na imeaidi kutoa burudani ya nguvu kwa mikoa yote ya hapa nchini
COMMENTS