MZEE GEORGE KAHAMA NA CAG LUDOVICK UTOUH WATOA MAONI KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Tume, Jaji mstaafu Joseph Warioba (kulia) akimsindikiza Waziri mstaafu na mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee George Kahama aki...

Mwenyekiti wa Tume, Jaji mstaafu Joseph Warioba (kulia) akimsindikiza Waziri mstaafu na mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee George Kahama akitoka nje ya ukumbi wa mikutano wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Januari 19, 2013, ambapo alikutana na wajumbe wa Tume hiyo kutoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba.
Waziri mstaafu na mwanasiaisa mkongwe nchini, Mzee George Kahama (kushoto) akizungumza katika mkutano na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam, Januari 19, 2013, na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba.
Waziri mstaafu na mwanasiaisa mkongwe nchini, Mzee George Kahama (kushoto) akizungumza katika mkutano na wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba  katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam Januari 19, 2013, na kutoa maoni yake kuhusu Katiba mpya. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba na Makamu Mwenyekiti, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ukumbi wa mikutano wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam Januari 19, 2013. Utouh alikutana na wajumbe wa Tume hiyo kutoa maoni ya taasisi yake kuhusu Katiba Mpya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi akimkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba maoni ya Jumuiya hiyo kuhusu Katiba Mpya Dar es Salaam Januari 18, 2013. (Picha na Tume ya Katiba)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MZEE GEORGE KAHAMA NA CAG LUDOVICK UTOUH WATOA MAONI KATIBA MPYA
MZEE GEORGE KAHAMA NA CAG LUDOVICK UTOUH WATOA MAONI KATIBA MPYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4XPwFJWVzn2HwHgBXK0cqIA0JRUPULLnCLE1YKNxIamyuFCDwTTp9tr01IQB9xT0HdmGomAwFIwsNPbiYrdD3_psMvatUQZtEqtynH1zDoWVJAOmd_nyvN-wUvs3QGYq2F8PsWltr0ZT1/s640/CRC-Mzee+George+Kahama+Nje-758625.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4XPwFJWVzn2HwHgBXK0cqIA0JRUPULLnCLE1YKNxIamyuFCDwTTp9tr01IQB9xT0HdmGomAwFIwsNPbiYrdD3_psMvatUQZtEqtynH1zDoWVJAOmd_nyvN-wUvs3QGYq2F8PsWltr0ZT1/s72-c/CRC-Mzee+George+Kahama+Nje-758625.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/01/mzee-george-kahama-na-cag-ludovick.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/01/mzee-george-kahama-na-cag-ludovick.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy