NYUMBA IKIANZA KUTEKETEA KABLA YA WATU KUFIKA MAJIRANI WAKISAIDIA KUZIMA MOTO HUO MOJA YA VYUMBA VYA NYUMBA YA MKAZI WA ...
NYUMBA IKIANZA KUTEKETEA KABLA YA WATU KUFIKA |
MAJIRANI WAKISAIDIA KUZIMA MOTO HUO |
MOJA YA VYUMBA VYA NYUMBA YA MKAZI WA UBUNGO MSEWE MSIKITINI IKITEKETEA KWA MOTO DAR ES SALAAM MACHI 9 2013 |
MAJIRANI WAKIWA NA SIMANZI |
WAKAZI WA MSEWE WAKIMPA KICHAPO MFANYAKAZI WA TANESCO BAADA KUFIKA KWENYE NYUMBA ILIYOKUWA IKITEKEA NA KUOMBA APEWE NGAZI. |
WASAMARIA WEMA WAKIZIMA MOTO ULIOKUWA UKISHIKA NYUMBA YA JIRANI |
MFANYAKAZI WA TANESCO AKITIMUA MBIO BAADA YA KUPATA UPENYO KUTOKANA NA MMOJA KUWAMWAGIA MAJI WALIOKUWA WAKIMWADHIBU KUMWACHA |
FUNDI WA TANESCO AKIENDA KUTOA TAARIFA KWA WAKUBWA WAKE BAADA YA KUPATA MKONG'OTO |
MWENYEKITI WA MTAA WA MSEWE JAFARI NYAIGESHA AKIWAHAKIKISHIA USALAMA WALIOTOA KICHAPO KWA FUNDI TANESCO BAADA YA KUPATA TETESI KULIKUWA NA MPANGO WA KUWASWEKA LUPANGO WALIOHUSIKA. |
MKAZI HUYO ALINASWA NA KAMERA YETU HATUA CHACHE TU NA NYUMBA ILIPOKUWA IITEKEA. HATA HIVYO MPAKA TUKIO LOTE LA UZIMAJI NA JITIHADA ZA KUOKOA CHOCHTE ZIKIFANYWA ALIYENDELEA KUUCHAPA USINGIZI. |
WAZIMOTO WA HAO WAKIHAKIKISHA HATA JIVU LINAPOA KABISA KATIKA MOJAWAPO VYUMBA VYA NYUMBA ILIYOTEKEA. |
WAKINA MAMA WAKITAFUTA NDOO ZAO BAADA KUJITOLEA MAJI YAO YA AKIBA KWA AJILI YA KUZIMA MOTO HUO. |
WAFANYAKAZI WA KIKOSI CHA ZIMAMOTO WAKIWAPA MAJI WAKAZI WA ENEO HILO KAMA SHUKRANI KWA USHIRIKIANO NA KUREJESHA MAJI WALIYOJITOLEA KUZIMA MOTO. |
COMMENTS