Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika mahojiano na Mtangazaji wa habari za michezo wa Televisheni ya Super Sport, Carol Tshabalala kati...
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika mahojiano na Mtangazaji wa habari
za michezo wa Televisheni ya Super Sport, Carol Tshabalala katika
mjadala kuhusu Tanzania inavyo jitahidi kupamabana na ugonjwa wa Malaria
mjadala huo ulifanyika kwenye kituo cha mikutano cha Sandton kilichopo
jijini Johannesburg Afrika Kusini. |
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisaini
mpira ikiwa ni ishara ya kupambana na Malaria kwa kupitia michezo
kutoka. Kushoto ni mke wake, Mama Tunu Pinda, akifuatiwa na Meneja wa
mpango wa kudhibiti malaria nchini, Dk Ally Mohamed, Naibu Waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, Balozi Mwema wa Kupambana
na Malaria pia msanii mkongwe wa
Afrika Kusini Yvonne Chakachaka na Mbunge Dk. Hamisi Kigwangalla
(kulia), ambapo waliuhudhuria amehudhuria mjadala huo. |
|
Mama Tunu Pinda akisaini juu ya mpira
pia, akiwa ameshikiwa mpira na Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Katikati ni ni Balozi Mwema wa Kupambana
na Malaria pia msanii mkongwe wa
Afrika Kusini Yvonne Chakachaka. |
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza
Rais wa Shirikisho la Mpira Nchini (TFF) Leodegar Tenga wakati wa
mjadala wa kuhusu kupambana na malararia. Kushoto ni mke wa Waziri Mkuu,
Mama Tunu. |
|
Baadhi ya washiriki maalum. |
|
Baadhi ya washiriki maamlum katika picha ya pamoja. (Picha na Chris Mfinanga) |
COMMENTS