MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI, PIA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mitambo ya kwanza ya Mpiga  Chapa wa Serikali uitwao  Original Heidelberg wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


HomeJamii

MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI, PIA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mitambo ya kwanza ya Mpiga  Chapa wa Serikali uitwao  Original Heidelberg wakati alip...

KAMATI YA MAKINIKIA YA TANZANIA YAANZA MAZUNGUMZO NA BARRICK GOLD CORPORATION JIJINI DAR ES SALAAM
MAENDELEO YA KAMPUNI YA SIMU KUJIUNGA NA MFUMO WA KULIPA KODI KIELEKTRONIKI
JARIDA LA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU - JUNI, 2017.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo  kutoka kwa Bw. Mohammed  S. Mohammed (kulia) ambaye ni Mtalaam na mwendeshaji  mkongwe wa mitambo ya uchapaji kuhusu jarada lililochapwa na mtambo uitwao Original Heidelberg wenye umri wa zaidi ya miaka 100 wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es Salaam, Juni 8, 2018. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipata maelezo kuhusu mtambo unaochapa majarada ya serikali kutoka kwa Kaimu Mpiga Chapa wa Serikali, Bw. John Kaswalala (kushoto) wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Der es Salaam, Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri . Kulia ni mwendeshaji wa mtambo huo, Dismas Shayo. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   akikagua moja ya karatasi zenye nembo na maadishi yalisioonekana kwa macho ya kawaida  kwenye  Kitengo cha Digitali wakati  alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018.  Katikati ni Kaimu Mpiga Chapa wa Serikali, John Kaswalala na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Digitali, Ali Machupa. 



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye wakati alipotembelea Kituo cha  Zimamoto za  na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala eneo la Fire jijini Dar es Salaam, Juni 8, 2018. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipotembelea  Kituo cha jeshi hilo cha mkoa wa Ilala eneo la Fire jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. Kushoto ni Kamishina Jenerali  wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua baadhi ya vifaa, magari na mitambo inayotumiwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipotembelea Kituo cha Zimamoto na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala, eneo la Fire jijini Dar es Salaam. Juni 8, 2018. Kushoto (kwake) ni Kamishina Jenerali wa Jeshi hilo,Thobias Andengenye.







Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI, PIA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DAR ES SALAAM
MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI, PIA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0gBzguFEcJMo1PrBqMUYKy5baO7XjaCfM5jN1XP9LPVhsmkBjBBSw0KXJM1fm_Gjhck-51Mc_5vsH7f6DaKa6Rpr-oTep8rZSCs2FbuolfpwsaLNB15HVE5OOwlgawFUnLbhGodJ9M50/s640/PMO_5761.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0gBzguFEcJMo1PrBqMUYKy5baO7XjaCfM5jN1XP9LPVhsmkBjBBSw0KXJM1fm_Gjhck-51Mc_5vsH7f6DaKa6Rpr-oTep8rZSCs2FbuolfpwsaLNB15HVE5OOwlgawFUnLbhGodJ9M50/s72-c/PMO_5761.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/majaliwa-atembelea-ofisi-za-mpiga-chapa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/majaliwa-atembelea-ofisi-za-mpiga-chapa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy